Error message

The MailChimp PHP library is missing the required GuzzleHttp library. Please check the installation notes in README.txt.

Warning message

The subscription service is currently unavailable. Please try again later.

Kilimo Ajira - Mbolea

  • Sharebar
Audio Clip: 
Description: 

Tunaangazia mbinu ya kutengeneza mbolea asili isiyo na kemikali. Mazao katika mashamba mengi meaneo mbalimbali humu nchini yanazidi kupungua ,kutokana na hali ya udongo kukosa rotuba. Kiini kamili cha ukosefu wa rotuba ni matumizi ya mbolea za kisasa zilizo  na kemikali  na ambazo husababisha mchanga kuwa na asidi nyingi.

Safari ya kukutana na wakulima walioekeza katika kutengeneza mbolea ya kiasili inatufikisha Ugunja kaunti ya Siaya.

Duration: 
14:01

Comment Using Disqus